IQNA

Maonyesho ya Kaligrafia yaanza Tehran

TEHRAN (IQNA) – Maoneysho ya Kaligrafia yaliyopewa anuani ya 'Njia ya Mapenzi” yameanza katika ukumbi wa sanaa wa Mnara wa Azadi mjini Tehran.

Maonyesho hayo ambayo yanatazamiwa kuendelea hadi Juni 20 yanaonyesha kazi za kaligrafia za baadhi ya wataalamu wa fani hiyo nchini Iran.