IQNA

Picha za Ibada ya Hija 1443 (2022) -2

Waislamu milioni moja wamekusanyika katika mji mtakatifu Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija. Idadi hii bado ni ndogo ikikumbukwa kuwa kabla ya janga la corona Waislamu milioni 2.5 waliweza kutekeleza ibada ya Hija mwaka 2019.