IQNA

Kikao cha Kufunga Mkutano wa Saba wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt AS

Mkutano wa Saba wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt AS ulimalizika hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku ya Jumamosi Septemba 3.