IQNA

Msikiti wa Al-Sahlah katika msimu wa Arbaeen

KUFA (IQNA) –Msikiti wa Al Sahla ni moja ya misikiti muhimu zaidi huko mjini Kufa mjini Iraq. Kwa mujibu wa baadhi ya riwaya, msikiti huo utakuwa makao ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake. Msikiti huo pia uliwahi kuwa makao ya mitume kama vile Ibrahim, Idris na Khidr.