IQNA

Msimu wa Machipuo kusini magharibi mwa Iran

SHIRAZ (IQNA) – Miti ya matunda imechanua kabisa wakati huu wa kuwadia msimu wa machipuo katika Mkoa wa Fars, kusini-magharibi mwa Iran.