IQNA

Usiku wa Kwanza wa Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran

TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalifunguliwa tarehe 1 Aprili 2023 katika siku ya 10 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini -Mosalla-. Watu kutoka nyanja mbalimbali walitembelea tukio hilo katika usiku wake wa kwanza.