IQNA

Muundo rasmi wa Nembo ya Shahidi wa Al Quds

IQNA- Ismail Haniyeh Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), alimwita Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani kuwa ni shahidi wa Al-Quds (Jerusalem). Katika mwaka wa nne wa kifo cha kishahidi cha Kamanda wa Nyoyo, Muundo rasmi wa nembo wa Shahidi wa Al Quds umesambazwa