IQNA

Kituo cha Utamaduni cha Niavaran cha Tehran Kimeandaa Maonesho ya Sanaa ya Qur'ani Tukufu

IQNA - Maonyesho ya sanaa ya Qur'ani kwa jina "Simulizi ya Mvua" yanaendelea katika Kituo cha Utamaduni cha Niavaran katika mji mkuu wa Iran wa Tehran.