Qari Ehsan Bayat akisoma Qur'ani Tukufu kwenye Mkutano wa Wanariadha na Ayatullah Khamenei
IQNA – Qari wa Iran Ehsan Bayat alisoma aya za Qur’ani katika mkutano wa wanariadha wa Olimpiki na wa Paralimpiki wa Iran pamoja na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei Jumanne, Septemba 17, 2024.