IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Al- Mahmud Shahat akisoma sura ya Shams

IQNA - Hapa chini utasikiliza sehemu ya tilawa ya kuvutia kutoka kwa Sheikh Al- Mahmud Shahat Anwar, qari maarufu kutoka Misri, katika sura ya Shams.