Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran: Jopo la Majaji katika Kitengo cha Wanaume
IQNA – Wataalamu wa Qur’ani Tukufu kutoka Iran na nchi kadhaa wanahudumu katika jopo la majaji katika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya 41 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yanayoendelea katika mji mtakatifu wa Mashhad kuanzia Januari 26 hadi 31.