Kisomo cha Mbinguni: Usomaji wa Qur’ani Tukufu wa qari Sheikh Al- Hassan Khanchi" katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Iran
IQNA - Qari wa Iran, Sheikh Al -Hassan Khanchi, mtahiniwa mashuhuri wa Qur'ani Tukufu nchini, katika saa za mwisho za siku ya pili ya mashindano ya washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ya 41, yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad, sambamba na siku ya Mi'raj ya Mtume Muhammad (S.A.W.), alitekeleza ibtihal ya kusifika kwa kumtukuza Mtume wa Mwisho, Muhammad (S.A.W.)