IQNA

Kikao cha Usomaji wa Qur'ani katika Mwezi Ramadhani huko Isfahan, Iran

IQNA – Waislamu wa Iran hushiriki katika vikao vya usomaji wa Qur'ani Tukufu kwenye misikiti na vituo vya kidini wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wakisoma Juzuu moja ya Qur'ani Tukufu kila siku. Picha zifuatazo zinaonyesha kikao cha usomaji wa Qurani cha Ramadhani katika Husseiniya ya Razavi (kituo cha kidini) kilichopo katika mji wa kati wa Isfahan.