IQNA

Katika Picha: Wafanyaziara Wanafuturu Katika Msikiti wa Jamkaran

IQNA – Watu wanaotembelea Msikiti wa Jamkaran huko Qom, Iran, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wanafungua saumu yao msikitini baada ya adhana ya Magharibi.