IQNA

Thawabu za Tabia Njema

Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) amesema: “Kwa hakika mja hupata daraja ya aliyefunga na anayesimama (kwa ibada usiku) kwa sababu ya tabia njema.” (Bihar al-Anwar, Jildi ya 68, Ukurasa wa 386)

Thawabu za Tabia Njema