Haram Takatifu ya Qom kuandaa hafla ya kumbukumbu ya kifo cha viongozi wa Hizbullah
IQNA – Hafla maalum ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa viongozi wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imepangwa kufanyika wiki hii katika haram tukufu ya Hazrat Masoumeh (SA) huko Qom.
2025 Sep 30 , 16:52
Wahubiri wageni watembelea vivutio vya kihistoria vya kidini nchini Misri
IQNA – Chuo cha Kimataifa cha Al-Azhar nchini Misri kiliandaa programu ya ziara ya maimamu, wahubiri na walinganiaji wageni kutembelea vivutio vya kihistoria vya Kiislamu na Kikristo katika eneo la Fustat.
2026 Jun 02 , 13:32
Bendera ya Ghadir yakabidhiwa kwa Haram Tukufu ya Bibi Masoumeh (SA) mjini Qom
IQNA – Ujumbe kutoka Astan (uongozi wa uangalizi/uhudumiaji) wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf nchini Iraq umekabidhi bendera za Ghadir kwa haram ya Bibi Masoumeh (SA) pamoja na Msikiti wa Jamkaran katika mji wa Qom nchini Iran
2026 May 30 , 15:47
Hamas: Kufungwa kwa Msikiti wa Ibrahimi ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa ibada
IQNA – Hatua ya utawala wa Israel ya kuufunga Msikiti wa Ibrahimi katika mji wa Al-Khalil (Hebron) ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa kuabudu na wa haki ya wananchi wa Palestina, harakati ya muqawama ya Palestina, Hamas, imesema.
2026 May 30 , 15:38
UN yapinga hatua ya Netanyahu kunyakua ardhi ya Gaza, yasema yote ni miliki ya Wapalestina
IQNA-Umoja wa Mataifa umekosoa vikali mipango ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ya kupanua udhibiti juu ya Ukanda wa Gaza, na kusisitiza kuwa eneo lote ni haki ya watu wa Palestina.
2026 May 30 , 15:32
Viongozi wa Iran na Masheikh wa Vyuo vya Kiislamu watoa rambirambi kwa Ayatullah Sistani
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ametuma ujumbe wa rambirambi kwa kiongozi mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, kufuatia kifo cha mke wake mpendwa.
2025 Sep 30 , 16:40
Mafundisho ya Qur’ani yadhihirika kwa kina katika Mashairi ya Rumi, asema mwanazuoni
IQNA – Mwanazuoni kutoka Iran, Karim Zamani, asema kazi za Rumi, hasa Masnavi, zinaakisi kwa kina mafundisho ya Qur’ani Tukufu, kuanzia misingi ya itikadi hadi mtindo wa simulizi.
2025 Sep 30 , 16:37
Qom kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Qur’ani ya Kitaifa ya Iran ya ‘Zayin al-Aswat’
IQNA – Toleo la kwanza la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani ya Iran ya “Zayin al-Aswat” (mapambo ya sauti) linatarajiwa kufanyika katika mji mtakatifu wa Qom, likijumuisha makundi matatu kuu, waandaaji walitangaza.
2025 Sep 28 , 15:45
Saudia Kuanzisha Makumbusho ya Kudumu Kuhusu Hija na Misikiti Miwili Mitukufu
IQNA – Mamlaka za Ufalme wa Saudi Arabia zimetangaza mpango wa kuanzisha makumbusho ya kudumu yatakayohifadhi historia ya Hija na Misikiti Miwili Mitukufu ya Kiislamu.
2025 Sep 29 , 15:32
Qatar kuandaa mikutano ya kimataifa kuhusu Qur'ani na Fikra za Kiislamu
IQNA – Wizara ya Wakfu na Mambo ya Kiislamu ya Qatar, kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha Qatar, imepanga kuandaa mikutano miwili ya kimataifa mapema mwezi Oktoba 2025.
2025 Sep 29 , 15:13
Madrasa ya Al-Azhar imeandaa kikao kuhusu Upepo Katika Qur’an Tukufu
IQNA – Semina maalum kuhusu "Vipengele vya Miujiza ya Kisayansi katika Qur’an Tukufu Kuhusiana na Upepo" inatarajiwa kufanyika leo katika Msikiti mkuu wa Al-Azhar, nchini Misri.
2025 Jul 14 , 17:24
Matembezi ya Arbaeen yaanza rasmi kusini mwa Iraq, kutoka Ras al-Bisheh hadi Karbala
IQNA – Hijra ya Arbaeen ya mwaka 1447 Hijria imeanza rasmi, huku maelfu ya mahujaji wakiianza safari yao kwa miguu kutoka eneo la Ras al-Bisheh, lililoko kusini kabisa mwa Iraq katika mkoa wa Al-Faw, wakielekea mji mtakatifu wa Karbala.
2025 Jul 14 , 17:18