Montreal

IQNA

IQNA – Uchunguzi wa uhalifu wa chuki unaendelea baada ya chupa ya pombe kurushwa kupitia dirisha la mlango wa msikiti mmoja mjini Montreal, Canada. Polisi wa jiji wamekabidhi kesi hiyo kwa kitengo chao cha uhalifu wa chuki na kuomba umma kutoa taarifa.
Habari ID: 3483024   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/11/10