Muhammad (SAW); Mtume aliyefunza hikima kwa wasio jua
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
Surah Al Jumua, aya ya 2