IQNA

Picha: Sherehe ya Ufunguzi wa Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran

IQNA – Sherehe ya ufunguzi wa toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Iran ilifanyika tarehe 26 Januari 2025, mjini Mashhad katika Ukumbi wa Quds wa kaburi takatifu la Imam Ridha (AS).