IQNA

Kila mwaka wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Idara ya Haram Takatifu ya Qamar Bani Hashim, Abul Fadhl Abbas (AS), huandaa qiraa ya Juzuu moja kila siku katika eneo hilo takatifu.