IQNA

Athari za Mashambulizi ya Kigaidi ya Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Iran

IQNA – Picha zilizopigwa mwishoni mwa Julai 2025 zinaonesha athari za mashambulizi ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Iran, Tehran, mwezi Juni, ambapo maeneo ya makaazi ya raia yalilengwa.

Utawala huo wa Kizayuni ulianzisha hujuma hiyo tarehe 13 Juni 2025, lakini ulilazimika kukubali usitishaji vita wa upande mmoja baada ya siku 12 kufuatia mashambulizi makali ya kijeshi kutoka kwa Jeshi la Iran.

.

 
 
Kishikizo: iran ، israel ، vita
Habari zinazohusiana