IQNA

Jumba la Makumboshi la Zama za Uislamu ni kati ya majumba ya makumbusho ya kitaifa Iran. Jumba hilo hili lina ghorofa tatu ambapo katika ghorofa ya kwanza na ya pili kuna kumbi saba. Ghorofa ya kwanza ina Ukumbi wa Qur'ani, Ukumbi wa Taimuri, Ukumbi wa Safavi na Ukumbi wa Qajar. Ghoroga ya pili kuna Ukumbi wa Zama za Awali za Uislamu, Ukumbi wa Seljuki, na Ukumbiwa wa Elkhani.

Jumba hili la makumbusho lina maeneo 170 ya kuonyesha vifaa 1,500 vya kihistoria ambavyo vimepangwa kwa mujibu wa zama mbali mbali za kihistoria.