IQNA

Jeshi la Israel laua shahidi Wapalestina 7, wanamapambano watoa jibu

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewapiga risasi na kuwaua shahidi wapigania ukombozi kadhaa wa Palestina akiwemo kamanda mmoja wa ngazi za juu huko Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
Afrika Kusini yaimarisha sekta ya utalii halali mjini Cape Town
TEHRAN (IQNA)- Meya wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini Patricia de Lille amesema idadi Watalii Waislamu wanatarajiwa kuwa kati watakaoleta pato kubwa mjini humo.
2018 Oct 16 , 20:56
Mamillioni ya Wafanyaziara wafika Karbala katika Arobaini ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Wafanyaziara takribani milioni 15 wamewasili mjini Karbala Iraq kwa lengo la kushiriki Arobaini ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
2018 Oct 29 , 18:14
Jeshi la Nigeria laua shahidi Waislamu 49 katika Arobaini ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limeua shahidi Waislamu 34 waliokuwa wakishiriki katika maadhimisho ya Arobaini ya Imam Hussein AS.
2018 Oct 31 , 18:37
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yaanza UAE
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
2018 Nov 05 , 21:38
Waislamu wakumbuka siku alipofariki dunia Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa SAW aliaga dunia tarehe 28 Safar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.
2018 Nov 07 , 10:24
Wayemen milioni 14 wanakabiliwa na njaa kutokana na hujuma ya Saudia
TEHRAN (IQNA) -Zaidi ya nusu ya Wayemen, takribani watu milioni 14, wanakabiliwa na baada la njaa kutokana na hujuma ya kijeshi inayoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo masikini zaidi katika bara Arabu.
2018 Nov 08 , 11:20
Indhari ya AI kuhusu mpango wa Saudia kuwanyonga WaislamuMashia
TEHRAN (IQNA)- Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetahadharisha kuhusu mpango wa utawala wa Saudi Arabia kuwanyonga wafungwa 12 Waislamu wa madhehebu ya Shia Ithnashariya.
2018 Nov 09 , 11:33
Mfuko wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni wazinduliwa Kenya
TEHRAN (IQNA)- Mfuko mkubwa zaidi wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni umezinduliwa nchini Kenya na kupewa jina la Salih.
2018 Nov 10 , 17:28
Maafisa wa polisi wa kike Trinidad na Tobago washinda haki ya kuvaa Hijabu
TEHRAN (IQNA) - Mahakama Kuu ya Trinidad na Tobago imetoa hukumu ya kuwaruhusu kuvaa Hijabu maafisa wa polisi wa kike ambao ni Waislamu.
2018 Nov 11 , 20:53
Waislamu Mashia Saudia kushirikiana na vikosi vya usalama katika maadhimiso ya Ashura
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Wajdi Mubarak mmoja katia ya wanazuoni wa Kishia nchini Saudi Arabia ametaka kuwepo ushirikiano kamili baina ya waumini na maafisa wa usalama nchini humo katika maadhimisho ya Siku ya Ashura.
2018 Sep 09 , 12:01
Wanawake Waislamu wanaovaa Hijabu wanashambuliwa Ubelgiji
TEHRAN (IQNA)- Takwimu zinaonesha kuwa, asilimia 76 ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Ubelgiji mwaka 2017 vilihusu kushambuliwa wanawke Waislamu wanaovaa Hijabu.
2018 Sep 10 , 10:37
AI yalaani kutiwa nguvuni Waislamu nchini Nigeria
TEHRAN (IQNA)-Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limelaani hatua ya serikali ya Abuja ya kuwaweka kizuizini kinyume sheria Waislamu hasa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
2018 Aug 31 , 17:12