IQNA

Picha za ibada katika usiku wa kwanza wa 'Laylatul Qadr' katika Haram ya Imam Ridha (AS)

IQNA - Makumi ya maelfu ya waumini walikusanyika kwenye Haram ya Imam Ridha (AS) mnamo Machi 29, 2024, kutekeleza ibada za usiku wa kwanza wa 'Laylatul Qadr' katika Haram mkesha wa siku 19 ya Mwezi wa Ramadhani mwaka huu.