IQNA

Kheiru Nisaa ni binti wa Kimalaysia ambaye ni mchezaji mkubwa wa mpira wa kimaonyesho. Anacheza mchezo huo kitaalamu na ameweza kuwashinda wachezaji wengi wanaume. Anasema Vazi la staha la Kiislamu la Hijabu si kizingiti katika mchezo huo