IQNA

Idul Adha ni Kati ya sikukuu kubwa zaidi ya Waislamu duniani kote na uadhumishwa kwa muda wa siku moja hadi nne kwa kutegemea nchi. Katika siku kuu hii, Waislamu huvaa nguo zao bora zaidi na nadhifu, kisha hushiriki katika Sala ya Idul Adha na wenye uwezo huchinja na kujumuika na jamaa na marafiki katika sherehe hizo muhimu