IQNA

Kila mwaka, unapowadia mwezi wa Muharram wahudumu wa kujitolea katika Haram ya Imam Hussein AS hupandisha bendera nyeusi zenye jina na lakabu za mtukufu huyo katika eneo zima la Haram ili kuwakaribisha wafanya ziara na waombolezaji wa mjukuu huyo wa Mtume SAW