IQNA

Mkutano wa 33 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Novemba 14 mjini Tehran kwa houtuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuhudhuriwa na washiriki kutoka nchi zaidi ya 90.