IQNA

TEHRAN (IQNA) Kikao na waandishi habari kuhusu mwaka wa nne wa jinai za Zariya na kutaka aachiliwe huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria. Kikao hicho kimefanyika mjini Tehran 8 Disemba ambapo bintiye Sheikh Zakzaky, Suhaila Zakzaky ametoa taarifa kuhusu hali ya kiafya ya mwanajihadi huyo wa Kishia na mchakato wa matibabu yao. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Jumuiya ya Watoto wa Mashahidi