IQNA

Cappadocia ni moja kati ya vijiji vya jangwani duniani na kiko katika jimbo la Antalya kati mwa Uturuki.

Eneo maarufu zaidi na yenye mvuto katika kijiji cha Cappadocia ni Göreme ambalo mwaka 1985 liliwekwa katika Orodha ya UNESCO ya Turathi za dunia