IQNA

TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho Konyanuma Panorama katika mji wa Konya, Uturuki liko nyuma ya kaburi la Jalāl ad-Dīn Muhammad Balkhi, maarufu kama Mawlana au Rumi ambaye alikuwa ni malenga mashuhuri Muirani. Jumba hilo la makumbusho lina athari za malenga huyo mashuhuri.