IQNA

Ijumaa 17 Januari, Imamu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran alikuwa ni Ayatullahil Udhma Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu. Sala hiyo ilisaliwa katika Ukumbi wa Sala (Mosalla) wa Imam Khomeini RA