IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei alizuru ziara toharifu la mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Khomeini (MA), pamoja na makaburi ya mashahidi wa mapinduzi ya Kiislamu wakiwemo Ayatullah Beheshti, Rajai na Bahonar kwa kuwapigia faatihah na kumwomba Mwenyezi Mungu aziinue daraja zao na kulipa nguvu, uwezo zaidi na ushindi taifa la Kiislamu la Iran.