IQNA

Kongamano la Kimataifa la 'Imam Khomeini na Ulimwengu wa Kisasa"

TEHRAN (IQNA) Kongamano la Kimataifa la 'Imam Khomeini na Ulimwengu wa Kisasa". Kongamano hilo limefanyika 3 Juni 2021 kwa munasaba wa kukumbuka mwaka wa 32 wa kuaga dunia Imam Khomeini MA, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Kongamano hilo limefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini MA kusini mwa Tehran na kuhudhuria na mjukuu wa Imam Khomeini, Hujjatul Islam Sayyed Hassan Khomeini, mshauri maalumu wa rais wa Iran katika masuala ya kaumu na dini za waliowachache Hujjatul Islam Ali Younesi, balozi wa Syria nchini Iran Shafiq Dayoub pamoja na wanazuoni na wawawakilishi wa harakati za mapambano ya Kiislamu.

 

 
 
Kishikizo: imam khomeini