IQNA

Maandamano ya kulaani mpango wa Marekani uliopewa jina la ‘muamala wa karne’ kuhusu Palestina yanaendelea katika nchi mbali mbali za dunia zikiwemo za Ulaya na Afrika. Walimwengu wanapinga mpango huo wa upande mmoja na wa kibaguzi wa rais wa Marekani ambao unakandamiza haki za taifa la Palestina kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel