IQNA

Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi mkubwa wa Mapinduzi ya Kiislamu, wananchi wa Iran wameshiriki katika matembezi kote nchini huku wakibainisha mapenzi na utiifu wao kwa malengo matakatifu ya mapinduzi