IQNA

Msikiti wa Ubudiah uko katika mji wa Kuala Kangsar, katika jimbo la Perak nchini Malaysia.

Msikiti huu ulianza kujengwa Septemba mwaka 1913 na kufunguliwa rasmi 1917. Msikiti huo ambao sasa ni nembo ya fahari kwa watu wa jimbo la Perak, ukikarabatiwa mwaka 2003.