IQNA

Mwaka huu kutokana na kuibuka ugonjwa wa corona na vizingiti vilivyowekwa ili kuzuia kuenea ugonjwa huu, Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeanza kwa aina yake maeneo mbali mbali duniani.

Shirika la Habari la Reuters limechapisha picha za namna Ramadhani ilivoanza duniani