IQNA

Waislamu duniani wanakaribia kumaliza utekelezaji wa ibada zao za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika hali ambayo dunia imeshuhudia vizingiti vingi vilivyowekwa kutokana na janga la COVID-19. Hali hii imepelekea mila na desturi za Kiislamu kuchukua sura mpya.