IQNA

Kumbukumbu ya Ramadhani tafauti kwa Waislamu dunaini

Waislamu duniani wanakaribia kumaliza utekelezaji wa ibada zao za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika hali ambayo dunia imeshuhudia vizingiti vingi vilivyowekwa kutokana na janga la COVID-19. Hali hii imepelekea mila na desturi za Kiislamu kuchukua sura mpya.