IQNA

Sala ya Ijumaa Uturuki baada ya kupungua COVID-19

Swala ya Ijumaa imeswalia Mei 30 baada ya kusitishwa kwa muda wa karibu miezi miwili ili kuzuia kuenea ugonwa wa COVID-19 au corona.

Wakuu wa Uturuki wameruhusu Swala ya Ijumaa imeswaliwa katika misikiti, maeneo yao umma, na viwanja vya michezo katika miji mbali mbali ya Uturuki kwa kuzingatiwa kanuni za kiafya za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.