IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wakristo katika mji mkuu wa Iran, Tehran walishiriki katika ibada maalumu kanisani kuukaribisha mwaka mpya wa 2021. Ibada hiyo ilifanyika kwa kuzingatia kanuni za kiafya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.

Picha zilizo hapa chini ni za Wakritso wa pote la Armenia katika kanisa la 'Holy Translators' mjini Tehran