IQNA

Nusu fainali ya Awamu ya 37 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Jumanne asubuhi mjini Tehran.

Mashindano hayo ya nusu fainali yanafanyika kwa njia ya intaneti kutokana na janga la COVID-19 au corona.