IQNA-Lebanon inajiandaa kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yanayojulikana kama “Al‑Sadiq Al‑Amin,” yatakayofanyika Beirut katika siku za kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481854 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27
IQNA – Msimamizi mkuu wa mashindano ya vipaji vya Qur’ani nchini Misri, maarufu kwa jina “Dawlat al-Tilawa”, ametangaza kuwa msimu mpya wa kipindi hicho kitaanza rasmi Novemba 2026.
Habari ID: 3481784 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/08
IQNA – Televisheni ya Thaqalayn Satellite imetangaza mpango wa kuandaa mashindano ya tatu ya kimataifa ya Qur’ani yanayojulikana kama “Wa Rattil” katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3481774 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06
IQNA – Reza Safdari, qari mashuhuri kutoka mkoa wa Sistan na Baluchestan, kusini mashariki mwa Iran, amejiunga na kundi la wanaofuzu kuingia fainali za mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika nchini Qatar.
Habari ID: 3481768 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/05
IQNA – Kipindi cha 13 cha shindano la vipaji vya Qur’ani Tukufu nchini Misri maarufu Dawlat al-Tilawa kilirushwa hewani wiki hii, kikiashiria kuanza kwa hatua ya mwisho ya mashindano.
Habari ID: 3481730 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28
IQNA-Mashindano ya 27 ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yameanza nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3481693 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/21
IQNA-Wawakilishi wa Iran walikuwa miongoni mwa washindi wakuu katika mashindano ya nne ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyofanyika Bangladesh.
Habari ID: 3481690 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/21
Mashindano haya yatafanyika katika kipengele cha kuhifadhi Qur’an kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka vituo vya mafunzo ya kuhifadhi Qur’an kote Misri.
Habari ID: 3481685 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/20
IQNA – Mashindano ya kwanza ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’an yenye kauli mbiu “Fa Istamasik: Shikamana na Qur’an” yameanza rasmi nchini Oman.
Habari ID: 3481682 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19
IQNA – Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu kwa Wanafunzi wa Shule kutoka ulimwengu wa Kiislamu yanatarajiwa kufanyika nchini Iran mwanzoni mwa mwaka ujao.
Habari ID: 3481676 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/18
IQNA – Mehdi Barandeh, mmoja wa wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani nchini Bangladesh, anatarajiwa kuondoka kuelekea nchi hiyo ya Asia Kusini mwishoni mwa wiki hii.
Habari ID: 3481666 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/16
IQNA – Kampuni ya TK Group, mojawapo ya makampuni makubwa nchini Bangladesh, imetangaza mipango ya kuandaa msimu wa pili wa mashindano ya usomaji wa Qur’ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481662 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/15
IQNA – Katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani kwa vipofu nchini Indonesia, nakalah 300 za Qur’ani ya kidijitali kwa mfumo wa nukta nundu (Braille) zilisambazwa kwa washiriki wenye uoni hafifu au ulemavu wa macho.
Habari ID: 3481643 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/10
IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Misri limeandaa maonyesho maalumu sambamba na Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika nchini humo.
Habari ID: 3481642 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/10
IQNA – Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Misri yamefunguliwa tarehe 6 Disemba 2025 kwa qira’a ya qari mashuhuri wa Misri, Mahmoud Shahat Anwar.
Habari ID: 3481632 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/08
IQNA – Sheikh Ahmed Mansour ni qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri anayehudumu katika kamati ya majaji wa mashindano ya 32 ya kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika nchini humo.
Habari ID: 3481631 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/08
IQNA – Televisheni ya Al-Kawthar imechapisha rasmi tangazo la video la Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani Tukufu mubashara, yatakayopeperushwa hewani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 2026.
Habari ID: 3481629 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/08
IQNA – Toleo la 32 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Misri limeanza Jumamosi katika Mji Mkuu wa Utawala wa nchi hiyo.
Habari ID: 3481627 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/07
IQNA – Usajili wa wanafunzi wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar kwa mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Port Said umeanza rasmi.
Habari ID: 3481614 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/05
IQNA – Hatua ya mwisho ya mashindano ya 32 ya Qur’ani Tukufu nchini Misri itafanyika katika ardhi hiyo ya Kiarabu kwa ushiriki wa washindani 158 kutoka nchi 72.
Habari ID: 3481607 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/03