IQNA

QOM (IQNA)- Alireza Bakhshi, ni mmoja kati ya wanakaligrafia bingwa katika mji mtakatifu wa Qom nchini Iran.

Amewahi kuandika Mshahafu kamili mara moja kwa maandishi ya kaligrafia. Karakana yake iko ndani ya nyumba yake na ni kama jumba la makumbusho ambalo ndani yake kuna maandishi mbali mbali ya kaligrafia.