IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wasanifu majengo wa msikiti mmoja nchini Indonesia wamejenga msikiti unaoshabihiana na mzinga wa nyuki.

Msikiti huo ambao uko katika eneo la Java Mashariki unajulikana rasmi kama Masjid Ikhlas lakini watu wa eneo hilo wanauita Msikiti Mzinga wa Nyuki kutokana na usanifu majengo wake kupata ilhamu kutoka mzinga wa nyuki.