IQNA

MASHHAD (IQNA) – Katika jioni ya kukumbuka kufa shahidi Bibi Fatima Zahra (SA) Alhamisi, watu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran walishiriki katika mjumuiko wa maombolezo ujulikanao kama Sham-e-Ghariban.