Inafaa kuashiria hapa kuwa, siku kama ya leo tarehe 20 Mfunguo Tisa Jamadithani, miaka 1451 iliyopita kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Qamaria, alizaliwa Bibi Fatima Zahra SA. Siku hii huadhimishwa kama Siku ya Mama na Siku ya Mwanamke katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.