IQNA

Marhum Sheikh Ahmad Amer alishiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Qur'ani Iran na kusoma qiraa ya Ibtihal mwaka 2005.

Kila mwaka nchini Iran hufanyika vikao vya kitaalamu vya Baraza Kuu la Qur'ani ambalo hujumuisha wataalamu wa Qur'ani na pia waliohifadhi na wanaosoma Qur;ani Tukufu. Katika vikao hivyo hualikwa wageni wataalamu wa Qur'ani wasiokuwa Wairani  na kwa msingi huo mwaka 2005 mmoja kati ya walioalikwa alikuwa ni Sheikh Ahmad Amer na hapa chini ni klipu fupi yake ya Ibtihal.

کد ویدیو