Klipuu hii hapa ina jumbe la maashiki wa Iran pamoja na ustaarabu, historia na utamaduni wake. Waliotuma jumbe hizi ni Wairani na wasiokuwa Wairani wakiw katika ardhi za mbali na Iran na wengine walio ndani ya Iran wakibainisha mapenzi yao kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.